Mtindo wa bar kukata tissue

Mtindo wa bar kukata tissue

CHOTABUSARA

Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
47
Reaction score
48
Huu mtindo wa kukata tissue kwenye ma bar ulitoka wapi? mana niko sehemu kuna mteja analalamika kwanini amepwa tissue ambayo haijakatwa?

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu wahudumu wanapenda kukata tissue. Be the first to reply

Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
 
Aisee.

Kumbe body tissues zinakatwa bar!
 
Duh we naye ni mteja? ama mnunuzi

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Tissue wanazikata alafu zinakuwa ndogo wanakuletea glasi mbichi ukikstumbukiza tu kameloa, kero
 
kwasababu ni simple kuichomeka kwenye papuchi na wewe ukapewa kusafishia mdomo au glass
 
Sasa we unahusikaje hapo? Muache apambane na hali yake huwezi kujua ndio utaratibu wa hiyo bar labda
 
Huu mtindo wa kukata tissue kwenye ma bar ulitoka wapi? mana niko sehemu kuna mteja analalamika kwanini amepwa tissue ambayo haijakatwa?

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
Niuzie simu yako mkuu Nina 400k

sent from my iPhone 7+
 
Dhaaaa!!! Uko na chupa ya 6
Nn mkuu
 
Bora hata hao walio kata tissue je wewe uliye leta huo uzi sijui hapo tuchangie nini ok mwambie mwenye bar alete tissue nzima sawa

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom