Mtimanyongo wa ITV kwa chama cha CUF.


Propagandist, Mimi nafikiri njia nzuri ya kuwaumbua hawa ITV ni wewe kupost hizo picha zinazoonesha umati huo. Itakuwa kushnehii!
 
ww sikushangai kwani jina tu linajionesha kwamba ni mcheza karatee na kutwa kukesha kwenye kahawa na mihadhara, yebo kwako ndio moka, ...........

Soma ww acha ujinga huo.

hahahahaaha mkuu jamaa atakutafuta maana hao muhanga ndio imani.
 
Tangu CUF wasaliti wazanzibar na 'kuolewa' na CCM wanahabari, wapinzani na watanzania kwa jumla walikidharau na kukipuuza CUF.
 
ITV wako right!

ndugu zanguni kwa style hii hatutofika. Tujadili mambo si kwa kuzongwa na aina ya hisia tunazozionyesha. Badala ya kuungana na kupambana na mdudu ccm lakini hali ni tofauti tz politicians ni walaghai wakubwa si wa ccm hata wa upinzani wanaonyesha kuwa na element za uroho wa madaraka, mgawanyiko n.k sioni future ya tz tunayoitaka sidhani kama tutafika. Never!
 
Mi nashangaa unadai ushahidi wakati wewe umebaki kusema umeshuhudia, sasa tufanye hivi lete huo ushahidi kwanza ili tuone kweli siyo propaganda, kwa sababu hata mimi huwa nasali kanisani najua kampeni zinazopigwa kuhusu CDM
 
ITV wanajitahidi sana kuwa neutral na kufuata misingi ya taaluma ya habari! Mlitaka mbebwe hata msipostahili? Mkitaka hivyo waambieni wenza wenu wasaidie kuwabeba kwenye TV yeni tbccm!
 
Wewe c ulikuwepo kwenye mikutano? tupia hizo picha na co kuiponda ITV, Arusha tulishuhudia mlivoshindwa kuujaza uwanja wa netball pamoja na juhud za kubeba watu na kutoa vipeperushi misikitin, SAFARI HII HAKO KA CHAMA MNAKAMALIZIA!!!
 
Nijuavyo itv wana utalaam mdogo sana kwenye kupika matukio. Hakika mleta mada yupo sawa ila amekosea heading kusomeka itv badala tbc
 
ITV ndo zao,CUF ijipange zaidi la sivyo..............
 
waumbueni kwa kuonyesha ukweli kupitia vituo vyenu Radio IMAAN na TV IMAAN

Acha hizo wewe"Hizo ni propaganda zilizopitwa na wakati za watu waliofilisika kiaiasa(mambumbu wa kisiasa)"JIPANGE!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…