Kaka heading yako inastahili kwenye udaku, asante kwa taarifa.
Tabora walisafiri kwenda kusherehekea Kahama mkuu ila mitaani pia hali ilikuwa ya shangwe sana ikipata msukumo kutoka chuo cha Sauti hapa Tabora
Viva CDM
Jana baada ya kutangazwa ushindi wa ubunge ,Arumeru pamoja na udiwani nimeshuhudia maadamano na bendera za chadema zikipita kwa kusheherekea ushindi huo maeneo ya singida,tabora eneo la iguna na nzega pamoja na shinyang na mwanza.hii inaonesha sehemu nyingi ya nchi wamekubali chadema mkombozi wa wanyonge.
hebu ongeza sehemu nyingine waliko shehelekea kwa maandamano na kupeperusha bendera ya chadema

And now Arusha City is Free, Like the Mwanza City!!
View attachment 50923
Yes, its MOVEMENT FOR CHANGE (M4C)