magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,338
Wakuu hali ni tete jimbo la kahama mkoani Shinyanga. Mgombea wake ambae ni mfanyabiashara wa jijini Dar bw.Jumanne kishimba,ametishia kujitoa kuendelea na kampeni kutokana na ukweli kwamba hawezi kushinda!
Kishimba amelalamika kuwa ameachiwa kila kitu afanye mwenyewe na viongozi wa ccm wa wilaya na kata wanaambatana nae mchana,lkn usiku wapo kwa James Lembeli.
Tajiri huyo ambae pia ni mmiliki wa maduka makubwa ya imalaseko amegoma kabisa kuendelea kutapanya fedha zake wakati anajua hatashinda!
Wakati huo huo,mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia chadema James Lembeli amechafua hali ya hewa ktk majimbo jirani ya Ushetu na Msalala kwa kufanya kampeni na chopa ili kusaidia harakati za ukombozi ktk majimbo hayo yaliyo chini ya halimashauri ya mji wa kahama.