Mtikila ni simba

Mtikila ni simba

LORIN

Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
51
Reaction score
23
Wana Jf mambo alioongea mchungaj Mtikila kwebnye bunge la katiba amedhihirisha kwamba bado ni kiongoz shupav tena asieogopa kutishwa na watawala uchwara. Nimekumbuka sana kauli mbiu yake ya SAA YA UKOMBOZI NI SASA. Bado anaipigania Tanganyika huru nchi ya ahadi yenye Asali na Maziwa. Wadau tumuelewe huyu kiongoz.
 
Siasa tu hizo Tangayika ni miaka hiyo sasa ni Tanzania.Kuitamka tuhiyo Tanganyika mdomo hautaki
 
Wana Jf mambo alioongea mchungaj Mtikila kwebnye bunge la katiba amedhihirisha kwamba bado ni kiongoz shupav tena asieogopa kutishwa na watawala uchwara. Nimekumbuka sana kauli mbiu yake ya SAA YA UKOMBOZI NI SASA. Bado anaipigania Tanganyika huru nchi ya ahadi yenye Asali na Maziwa. Wadau tumuelewe huyu kiongoz.

Ni watanzania wachache wenye akili ndo wanaweza kumwelewa mtikila. Watanzania wengi hufuata upepo.
 
Back
Top Bottom