MTIKILA: CCM ni Manyani - Epidomea

Epidomea ndio inayowasumbua kweli CCM hahahaha haha safi sana Mtikila ww ndio shujaa wa nchi ya Tanganyika, don't give up we love you
 

Sayansi hii ya 'epidomia' ni ngumu sana kwa Ma-CCM kuielewa, na hawakamii kuanza kulalamika kwa JK katukanwa, kakashifiwa na kazalika...! Tatizo lao ni woga na wigo wao wa fikra wasiopenda kuupanua na kujitawala kutokana na wanavyotawaliwa kifikra...ndiyo 'epidomia' yenyewe....unyani 🙂!
 
Mtikila bwana,we na sayans wapiwapi?we sheria na biblia njoo uniombee nijiunge UJINGA KAWAIDA YETU WAPINZANI'UKAWA'
 
Kweli kabisa na ushahidi huu hapa
 

- hivi Mtikila zile Shillingi Millioni 3 alizokopeshwa na Rostam alishazirudisha au?

Le Mutuz System
 
Sijaelewa hapa!Inamaana ukiona mtu anatetea serikali mbili basi ruksa kumtupia ndiz au?
 
Unyani nyani kwa ccm ndio Zhao hata MTU akiongea ujinga kama Rusindee wao makofi pwaa pwaaa.
 
Mtikila anabadilika kulingana na matukio,msimlazimishe kumhusisha na aliyoyafanya kipindi cha nyuma.
Kwa hili la serikali ya Tanganyika yupo na UKAWA hadi kieleweke.
Hilo tatizo la Epidomia ni kweli lipo kwa wale wanaobadilika kuhusu idadi ya serikali.
Wananchi walishasema kupitia maoni yao kwa Tume ya Warioba,hili la serikali mbili haingii akilini kwa sasa hadi uwe umeathirika na "Unyani"
 
mtikila anatufaa sana kwenye siasa zetu za bongo. kwani siasa zetu ni za hovyo kabisa.
 
Jamani ya watu wanaogombana huungana ili kumshinda mtu waliyemtambua ni adui.

Ukawa pamoja na kwamba wameshatukanana, leo hii tofauti zao pembeni adui n mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…