meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
Ukifuatilia mtiririko wa shutuma za mtikikila dhidi ya lowassa utaona kuna ujumbe uliojificha!
UJUMBE HUU unaweza kuwagawa wapiga kura na pengine ukachukuliwa serious na wanausalana,wanasiasa na hatimaye wapiga kura.
Ina maana kuna mkakati uliosukwa na wakulima ili kumpitisha mtu wao na baadaye wafanye yao?
Je kuna ukweli wowote kwamba EL hajaongelea mikakati yoyote ya kuwakwamua wakulima?
Je kuna mgombea yoyote kupitia ccm ameligusia suala la migogoro ya wakulima na wafugaji?
Je kuna mgombea yoyote ni pro-wakulima au pro-wafugaji.
Siasa zinatupeleka pabaya sana iwapo suala hili litaachwa kumea.
Usalama wa Taifa ni lazima waingilie kati ili kuepusha aina yoyote ya kupolarize jamii ya kitanzania.
Wagombea kupitia midahalo wajiweke wazi juu ya swala hili kabla ya kukutana na mvutano unaofanania na ule wa kidini 2010.
Ni maoni ya tahadhari tu.tusiweke siasa mbele.