Mtihani wa morani

Mtihani wa morani

hadithi za zamani sana hizo wamasai morani wote wapo mjini wanasuka dada zetu na kuuza ugoro tu..
 
Wivu mpaka kwenye hatari mkuu???!!
Twende kama vipi this weekend ntakuwa maasaini
wapi? watu wanapambana na ugaidi nowdays we unataka tukapambane na simba.. utapewa kesi ya ujangili na nyara za serikali na kwenda kunyea debe ...ooonho!!!
 
Wamasai ni kivutio tosha cha utalii, sijui wanakuja kufanya nini dar
 
Back
Top Bottom