Mtihani wa kidato cha sita 2013 kufanyika "may" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa kidato cha sita 2013 kufanyika "may"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mr Anold, Sep 2, 2012.

 1. Mr Anold

  Mr Anold JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Habari za asubuhi wana Jf, nimeulizwa swali mara tatu sasa na wanafunzi na wazazi wao wakitaka kujua kama ni kweli kwamba mtihani wa kidato cha sita 2013 utafanyika mwezi may(5) kama ilivyokuwa miaka ya 2004 na kabla. Jibu ni kwamba "SIJUI" JE WADAU KUNA TETESI KAMA HIZO? Naomba mwenye majibu yaliyothibitishwa atujuze.
   
 2. Mr Anold

  Mr Anold JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kuna tetesi kwamba watajiunga na JKT kwa kipindi cha miezi mitatu baada ya kumaliza kidato cha sita.
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,053
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Nashauri hata Wassira arudishwe Jkt ili apate uzalendo wa nchi yake
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  last weekend nilimkuta naibu waziri mr Philip Mulugo kwenye duka moja la madawa pale sinza vatcan nikamuuliza kuhusu hilo jambo,alinipasha kwa mwakani hana uhakika.pia alilalama ya kwamba dr kawamba(undergraduate frm udsm) ndiye aliyeshikilia bango hiyo hoja bila kutazama ni vipi wanafunzi na vyuo vitasalimika
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hapa sijakuelewa mdau,,,,,,why he call him self Dr?????
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  first degree amechukulia udsm bt masters na phd ndo amechukulia u.k
   
 7. Mjanja Wa Town

  Mjanja Wa Town JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mi nadhani huu utaratibu mpya wataanza nao form six wa 2014.
   
Loading...