Mtihani wa kidato cha nne wahahirishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa kidato cha nne wahahirishwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by urasa, Oct 3, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  leo ktk mapitio ya magazeti kuna kichwa cha habari juu ya kuhahirishwa kwa mitihani hiyo,je kuna ,mtu mwenye details zaidi?
   
 2. B

  Bunsen Burner Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nini tena huko!! AU NDIO SIASA KWANZA, ELIMU BAADAE!! HAhahahaaaaaa...
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa kama ni siasa huyu JK inabidi tumuondoe ikulu haraka sana hiyo tarehe 31, this would be a joke of the year!!!!!!
   
 4. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Serikali ya ccm haina hasara kwani watoto wao wanapata elimu nje, hawajui shida, wala hawana wasiwasi juu ya baadae kwani kila mmoja anajua kitengo kipo tayari kinasubiri amalize shule hata kwa kuunga unga mara London, mara Moscow mara New york. Ndo nchi yetu tuliachiwa na wazee wetu.

  Kama hatubadiliki tufanyeje? kama hata jeshi ambalo linatumia jina la wananchi linaanza kutishia, watanzania tutegemee nini, Miujiza ya mungu.
   
 5. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Kuhahirishwa ndio nini? Inabidi tupitie tena syllabus zetu kwani wengi wa wanaomaliza secondary siku hizi hawajui kuandika....
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  :couch2:
   
Loading...