Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,320
Nashukuru, bahati mbaya matusi sijafundishwa. Lengo hasa la mtu kuoa ni nini? Je, mtu aliyezaa hastahiri kuolewa? Ukioa asie zaa unapata nini ambacho aliyefanya kinyume na wewe anakosa? Nijibu maswali yangu. "NOTHING IS GOOD OR BAD BUT YOUR THINKING MAKE IT SO."Kaja.mbe mbele huko wapi nimemnyanyasa mtoto?Kijana bado mdogo 24 kulea mtoto si haki pia huyo mwanamke akafie mbele mbona hakusubiri ndoa azae?kapanuliwa huko kazalishwa sasa hivi ndo anajitia mpaka ndoa.Mfyuuuuu
Nashukuru, bahati mbaya matusi sijafundishwa. Lengo hasa la mtu kuoa ni nini? Je, mtu aliyezaa hastahiri kuolewa? Ukioa asie zaa unapata nini ambacho aliyefanya kinyume na wewe anakosa? Nijibu maswali yangu. "NOTHING IS GOOD OR BAD BUT YOUR THINKING MAKE IT SO."
Vdogo vdogo na mazaga mengne nillitumia mbinu mbili tatu nikapata ila katkat ya ma-romance anashtuka nakuniomba nimuache.
fanya uamuazi wa kawaida tu huo, sidhani kama inahitaji kukunja uso....Sawa kabsa kiongoz..itabd nchukue uamuz mgumu.
Ungekuwa mwanamume ............
Aaaaaaa habari wangeipata wadada!
kwa karne hii hakuna kitu kama hicho na wewe usimpe hela ya matumizi mwambie unamtunzia mpaka mkioanaHabari wana jf!
Mimi ni kijana (24yr), nmekuwa na mahusiano na binti mmoja yapata mwaka sasa sijawahi kula tunda pengne sababu ya umbali maana anaishi kwao moro, mimi nipo dsm sasa amekuja maramoja dsm kwa sis wake na jana tukapanga kuonana nkampeleka lodge nkajua nitakula tunda..badala yake akataka kujidhihirishia kama nampenda na nina malengo gani kwake..nikapewa mashart yafuatayo:-
1.Tukapime afya zetu kwanza.
2. Nikatambulike kwao.
3. Niwe tayar kulea mtoto wake maana tayar ana mtoto wa kke alizaa na kjana ambaye hawako pamoja sasa.
4. Hamna kula tunda mpaka nimuoe.
Nimekubaliana na mashart hayo ila shart la nne limenitia mashaka kwa nini anizuie na ilihali yeye ameshazaa na syo bikra.? Na kwel nitaweza kuvumilia kpnd chote maana kwangu kuwa tayar kuoa ni mpaka niweke mazngra sawa maana ndo kwanza nmeanza kaz..? Sasa sjui inakuwaje hapo maana nampenda..Hamuwez amin jana nimeambulia patupu..hapo anaashiria nini wakuu?
Uboya huo kuekwa pending wakati wenzio wanajipigia na washatotolesha temana nae huyo kwanini hakusubiri ndoa tangu zamani shenzake!!!!
Uboya huo kuekwa pending wakati wenzio wanajipigia na washatotolesha temana nae huyo kwanini hakusubiri ndoa tangu zamani shenzake!!!!
Duuh, kumbe jamii yetu ni ya watu wanafiki kiasi hiki. Eti mdada mwenye mtoto! Tatizo lipo wapi? Kila siku tunaona nyumba za ibada zinajaa, watu wameenda kuwatembelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, kumbe unafiki. Kama umempenda oa, huyo mtoto ni binadamu anastahili kuthaminiwa na sio kunyanyaswa.
Nmeamua nijitoe tu ila nahtaj hekima kumueleza aelewe na asibaki na kinyongo na mimi
Hakuna haja ya kumuelewesha. Wewe fanya hivi. Ilifika kwanzia tarehe moja mwaka mpya , hakuna kupokea simu yake wala kutuma message. Kaa kimya tu , akipiga na namba ingine pokea , ukikuta ni yeye kata. Akituma message usiisome. Futa juu kwa juu.