Habari wana jf!
Mimi ni kijana (24yr), nmekuwa na mahusiano na binti mmoja yapata mwaka sasa sijawahi kula tunda pengne sababu ya umbali maana anaishi kwao moro, mimi nipo dsm sasa amekuja maramoja dsm kwa sis wake na jana tukapanga kuonana nkampeleka lodge nkajua nitakula tunda..badala yake akataka kujidhihirishia kama nampenda na nina malengo gani kwake..nikapewa mashart yafuatayo:-
1.Tukapime afya zetu kwanza.
2. Nikatambulike kwao.
3. Niwe tayar kulea mtoto wake maana tayar ana mtoto wa kke alizaa na kjana ambaye hawako pamoja sasa.
4. Hamna kula tunda mpaka nimuoe.
Nimekubaliana na mashart hayo ila shart la nne limenitia mashaka kwa nini anizuie na ilihali yeye ameshazaa na syo bikra.? Na kwel nitaweza kuvumilia kpnd chote maana kwangu kuwa tayar kuoa ni mpaka niweke mazngra sawa maana ndo kwanza nmeanza kaz..? Sasa sjui inakuwaje hapo maana nampenda..Hamuwez amin jana nimeambulia patupu..hapo anaashiria nini wakuu?