Mtihana mzito

Hapohapo namtumia SMS mke wangu ,mama yangu ya kuomba wanitumie pesa

Nikifika home nitasingizia simu imeibiwa na huyo aliyeiba ndio anasambaza spams
 
Hapohapo namtumia SMS mke wangu ,mama yangu ya kuomba wanitumie pesa

Nikifika home nitasingizia simu imeibiwa na huyo aliyeiba ndio anasambaza spams
Hiyo ndo akili
 
Na viroba hamna, ungeweza visingizia
 
MWe MWe mweee,, yaani hapo ni chap chap mama mkwe kitu gan bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…