ha ha ha ha ....mbona rahisi tu hiyo kiongozi...watoto wachanga si wanakuwa na bikra au?!?Kuna mtu mmoja jana alisema hivi, "Kutafuta mgombea safi toka CCM, ni sawa na kutafuta Bikra kwenye Wodi ya Wazazi...."
hahahaaaa king Majuto
Mpa jibu lako ndio nimelipenda zaidi! Nimecheka hadi basi. You made my dayha ha ha ha ....mbona rahisi tu hiyo kiongozi...watoto wachanga si wanakuwa na bikra au?!?