Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe

Mti wenye matunda ndio unaorushiwa mawe

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
561
Reaction score
183
Katika hali ya kawaida mti Wenye matunda ndio unaorushiwa mawe.

Msemo huu unaweza kuhusishwa katika hiki kinyang'anyiro cha urais kwa watiania wa Ccm.

Mgombea anayetupiwa madongo ni sawa na mti Wenye matunda. Mwisho wa siku ukweli utajulikana CCM wawe makini sana.
 
Katika hali ya kawaida mti Wenye matunda ndio unaorushiwa mawe. Msemo huu unaweza kuhusishwa katika hiki kinyang'anyiro cha urais kwa watiania wa Ccm. Mgombea anayetupiwa madongo ni sawa na mti Wenye matunda. Mwisho wa siku ukweli utajulikana CCM wawe makini sana.

Mkuu nakuunga mkono maana hawa magamba pengine mwenzao anajitambua ila wanampiga mawe. Lakini cha pili huu mtu unaopigwa mawe nao unabidi uwe kamilifu maana utakuwa matunda. Lakini pia dhahabu ili ing'ae lazima ipite kwenye moto. Na itang'ara tu hata kama sio Leo
 
  • Thanks
Reactions: mge
Hivi nyie mnamfahamu vizuri Lowasa na hao rafiki zake akina Chenge, Karamagi, Rostam, Kingunge etc? Waogopeni kama ukoma, namba chafu Sana hizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom