Mtoto mkubwa Member Joined Dec 29, 2014 Posts 68 Reaction score 23 Dec 24, 2018 #1 Naomba nifaamishwa ni nini maana ya mti wa krismasi. maana naona ona tu cjui hata maana yake hasaaaa..
Naomba nifaamishwa ni nini maana ya mti wa krismasi. maana naona ona tu cjui hata maana yake hasaaaa..
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,939 Reaction score 8,883 Dec 24, 2018 #3 Urembo tuu kwani kuna la zaidi?
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,216 Reaction score 12,603 Dec 24, 2018 #4 Huu unafaa kupelekewa monkey
Eminem jr JF-Expert Member Joined May 21, 2018 Posts 2,006 Reaction score 4,617 Dec 24, 2018 #5 Inamaanisha kuwa ww unapenda sana sikukuu ya chrismass kuliko mwaka mpyaaa
Mama_Aheshimiwe JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,746 Reaction score 4,170 Dec 24, 2018 #6 Alipolazwa mtoto Yesu alipozaliwa yalikua yamelazwa mamiti hayo Njia waliyopita mama Jusi ilikua na miti hiyo njia nzima hadi walipofika alipozaliwa Haihusiani na imani zaidi hii miti ni kumbukumbu tuu
Alipolazwa mtoto Yesu alipozaliwa yalikua yamelazwa mamiti hayo Njia waliyopita mama Jusi ilikua na miti hiyo njia nzima hadi walipofika alipozaliwa Haihusiani na imani zaidi hii miti ni kumbukumbu tuu