Mfamaji! samahani naomba kuuliza walikwambia ukikua unakuwa mkubwa kiasi gani, ie. mwambe, na je waweza pia kuupanda kwenye vyungu vya maua kama mizi ziz yake sio mikubwa?
I mean kama kwa majirani kuna mbu ilhali kwako hamna tunaweza tukafikia muafaka kwamba mti umesaidia.....kama kote hakuna mbu then itakua sababu nyingine.
Wakuu heshima mbele!
Kwa mtazamo wangu mbu wa Dar ni sugu sana. Si kama wa Arusha, ikizingatiwa hali ya kule ina ka-ubarid kidogo. Hivyo mbu wa huko ni mdebwedo kiasi. So wakipata harufu fulan flan ambazo hawazipendi wanalewa na kutimua mbio.
Kwa hapa bongo balaa tupu. Mammbu ni mabishi. Ukiyapiga dawa ya ku-sprei ndo kwanza yanashangilia!
Mi huwa nawasha feni fulu spidi na kuyachapa haya mammbu usiku kucha na upepo. Nikiamka monii yametapakaa sakafuni hoi, mengine bado yanapumua. Ukiyaacha baada ya muda flan yanaamka na kula kona.
Kwa kifupi mbu wa Dar ni wabishi, huenda tukiupanda hapa Dar mbu watauzingira na kupata stimu kabla ya kushambulia binadamu.
Wale wanaopiga mara kwa mara ruti za Dar-Arusha hebu nunueni tuone demo. Usijekuta pia huo mti haukui ktk hali ya hewa ya Dar!
Ni hayo tu
Ndugu acha ujinga tumekwambia tupigie picha napo unajizungusha tu,pia tumekwambia tuambie mahali uliponunua huo mti bado umekuwa husemi sijui lengo lako lilikuwa lipi,huo ni ushamba wa enzi za ujima ,basi kaa na huo mti wako roho ikutue
Kwa mujibu wa 'risachi' ya kwetunikwetu huu mti hauwezi kumea maeneo ya pwani (inahitaji sehemu za mwinuko)!
Ndugu acha ujinga tumekwambia tupigie picha napo unajizungusha tu,pia tumekwambia tuambie mahali uliponunua huo mti bado umekuwa husemi sijui lengo lako lilikuwa lipi,huo ni ushamba wa enzi za ujima ,basi kaa na huo mti wako roho ikutue
kwetu kijijini hipo jamani ila jina na tulikuwa unakatamajani yake unajipaka kama upo mahali mbu wanakusumbua inafukuza ata ukilala unajipaka au unakata kitawi or majani unaweka kwenye kona moja kwishinei mbu akuna kabisa
Domo Kaya hii avatar yako nikiiona tu mwili unanisisimka!! uliitoa wapi hii?? Kwa jinsi avatar yako ilivyo wala huhitaji hata mti wa kufukuza mbu manake wenyewe wakikuona tu lazima watimue mbio.Duuuu mshakaji itabidi na mimi niutafute, maana mbu nawachikia vibaya sana, maleria haikubaliki
Domo Kaya hii avatar yako nikiiona tu mwili unanisisimka!! uliitoa wapi hii?? Kwa jinsi avatar yako ilivyo wala huhitaji hata mti wa kufukuza mbu manake wenyewe wakikuona tu lazima watimue mbio.
Kwenda zako na Kiswahili chako cha Kihaya. Kwa nini pasipostahili "H" wewe unaweka, na panapostahili huweki.kwetu kijijini hipo jamani ila jina na tulikuwa unakatamajani yake unajipaka kama upo mahali mbu wanakusumbua inafukuza ata ukilala unajipaka au unakata kitawi or majani unaweka kwenye kona moja kwishinei mbu akuna kabisa