mtetezi wa samaki nani

asmara

Member
Nov 22, 2011
20
2
wanyama pori , misitu inao watetezi, lakini samaki Hakuna marufuku ya kuvua angalau Kwa mwaka ili waongezeke .je vizazi vijavyo vitakuta samaki kwenye maziwa ( lakes ) yetu au nayo yatakuwa yamekauka .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom