Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,765
- 218,385
Dawa yenu ni kunyakuwa mbunge mwingine wa CDMHabari ndio hiyo wakuu , inasemekana Salim Chicago amekubaliana na mpango wa Polepole ambao kimsingi umo kwenye mkataba wa manunuzi ya wabunge wa upinzani ( tunakununua na tunakurudisha tena ) , Lakini Abass Mtemvu na wapambe wake wakiwemo viongozi wa ccm wa wilaya wamejiapiza kwamba Patachimbika !
nimekuletea hii ili uwe wa kwanza kufahamu .
Hata sisi makamanda wa ufipa tunamuunga mkono.
Sisi wanaCCM Temeke tunamuunga mkono Mtolea. Na tunamuomba rais ampe hata wizara ya mambo ya ndani,si ndio wakuu jingalao Magonjwa Mtambuka Ruttashobolwa
Hata sisi makamanda wa ufipa tunamuunga mkono.
Sisi makamanda wa hapa ufipa tunaunga mkono.WanaCCM tuwaunge mkono hawa wanaohamia kwetu wapewe nafasi kubwa kubwa.
Ikiwezekena sisi wanaCCM tumlilie Mbowe ahamie ili 2020 achukue nafasi ya Waziri mkuu.
Atapigwa sarakasi tu kama wanavyofanyuwa wapinzani. Mara ooh picha ujabandika katika form mara msimamizi wa kupokea form hayupo. Ngoja utaona tu maana CCM kwa fitna hakuna anayewaweza.Habari ndio hiyo wakuu , inasemekana Salim Chicago amekubaliana na mpango wa Polepole ambao kimsingi umo kwenye mkataba wa manunuzi ya wabunge wa upinzani ( tunakununua na tunakurudisha tena ) , Lakini Abass Mtemvu na wapambe wake wakiwemo viongozi wa ccm wa wilaya wamejiapiza kwamba Patachimbika !
nimekuletea hii ili uwe wa kwanza kufahamu .
Sisi makamanda wa hapa ufipa tunaunga mkono.