MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Katika hali ya kawaida nijuavyo mimi hawa jamaa wamekua karibu sana tokea wakiwa Chadema, mpaka sasa inasemekana bado ukaribu wao hasa wa masuala ya kisiasa bado umo sana pamoja na kwamba moja ni ACT wazalendo na mwingine ni CCM.
Katika pitapita zangu mtaani niliwakuta vijana ambao nilihisi kabisa wameenda kidato na wanayaelewa vizuri mambo ya kisiasa, Sikujua mjadala ulianzia wapi lakini kati yao inaonekana kabisa ni wafuasi wazuri wa Mh kiongozi wa ACT na wengine nahisi walikua makamanda watiifu wa Chadema!
Mmoja kati yao alisikika akisema kua " Mtella Mwampamba ni kijana mpambanaji ambaye amekua akilelewa na Mh Zitto katika siasa tangu wakiwa wote Chadema na sasa muda wowote jamaa anaweza kuungana na Mh Mbunge na kiongozi mkuu wa chama,tunaweza kumpa nafasi nzuri tu ndani ya chama" Mmh, sikutaka kuingilia mjadala ule maana sikujua ulianzia wapi! Ila nilijiuliza maswali mengi kuhusu huyu jamaa yangu nimjuaye tangu shuleni.Alikua yeye au ni mwingine aliyekua akijadiliwa?
Sina jibu wala uhakika lakini nilijiuliza inawezekana jamaa kuna kitu ameahidiwa kule CCM kwa maana ahadi isipotimia anaweza kuungana na Mh Zitoo na kupewa uongozi kule? Kama kweli bado wako pamoja na Mh Zitto kwa sasa kazi yake kubwa ni kukikuza na kuimarisha chama chake hivyo anaweza kumvuta kijana huyu?
Mtella Mwampamba ni kijana mtiifu kule CCM je, anaweza kukiuka miiko ya chama chake au kwa vile yuko huru kuamua atakavyo kama Mtanzania?