matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,960 Aug 6, 2012 #1 [h=6]Mteja flani kaingia kwa 5 star hotel. MTEJA:"Pilau bei gani?" WAITER:"Tsh.2000 pamoja na kachumbari." MTEJA:"Kwani kachumbari ni bei gani?" WAITER:"Kachumbari ni bure." MTEJA:"Basi nipe kachumbari sahani moja." [/h]
[h=6]Mteja flani kaingia kwa 5 star hotel. MTEJA:"Pilau bei gani?" WAITER:"Tsh.2000 pamoja na kachumbari." MTEJA:"Kwani kachumbari ni bei gani?" WAITER:"Kachumbari ni bure." MTEJA:"Basi nipe kachumbari sahani moja." [/h]
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,491 Reaction score 1,298 Aug 6, 2012 #2 huyo atakuwa mpare
egbert44 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2006 Posts 382 Reaction score 59 Aug 6, 2012 #3 anapenda vya bure huyo shauri yake au kazoea?
W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 605 Aug 6, 2012 #4 snochet said: huyo atakuwa mpare Click to expand... Au mmasai
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Aug 6, 2012 #5 Hahahahah hahhhah hahhahah!
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Aug 7, 2012 #6 Huyu ni kumkomoa tu unamletea kachumbari yenye pilipili kibao halafu unamwambia akibakiza analipia elfu ishirini
Huyu ni kumkomoa tu unamletea kachumbari yenye pilipili kibao halafu unamwambia akibakiza analipia elfu ishirini
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Aug 7, 2012 #7 snochet said: huyo atakuwa mpare Click to expand... una utani na watu kijana... huyo ni morani must