Mtego alioukwepa mhe: Mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtego alioukwepa mhe: Mbowe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Jun 25, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Vitu vya anasa, magari,pesa, mali, posho lukuki, ccm ikikukosa kwenye hivi itakuhesabu kwamba wewe ni mwanasiasa hatari sana kwa maana mitego hii imewakumba wengi kama dr.karbolou ambaye alikuwa roho ya chadema.
  Wengi walishindwa na wakajikuta ndani ya ccm kwa sababu ya vitu kama hivi hongera sana mhe:mbowe na wabunge wa chadema kwa kulishinda hilo.   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Dr. Kabourou ni mpenda pesa
   
 3. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Usikumbushe Dr.Kabouru ntalia...usimtaje kabsa!2limpigania sana miaka iyo pale Kigoma...Mwanga-katubuka,Ujij na kote!2kaimalisha Ngome pale Urusi...2lipgwa sana na FFU kwa kumtetea..kwa kutumia ukaribu wa Kgma na maziwa makuu wengne tukafunguliwa kes za uhamiaj haramu!2limbeba Kabouru toka Steshen mpaka Ujiji jujuu ka mkomboz wetu!alichotufanyia!!!Juz nlimuona Bungen katembelea bunge ka Mbunge wa Africa Masharik
   
 4. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Usinikumbushe Dr.Kabouru ntalia...usimtaje kabsa!2limpigania sana miaka iyo pale Kigoma...Mwanga-katubuka,Ujij na kote!2kaimalisha Ngome pale Urusi...2lipgwa sana na FFU kwa kumtetea..kwa kutumia ukaribu wa Kgma na maziwa makuu wengne tukafunguliwa kes za uhamiaj haramu!2limbeba Kabouru toka Steshen mpaka Ujiji jujuu ka mkomboz wetu!alichotufanyia!!!Juz nlimuona Bungen katembelea bunge ka Mbunge wa Africa Masharik
   
 5. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wazalendo wa kweli ni wachache! tunaomba wana chadema wasimame imara kwa hilo!Naamin wapo baadhi ya wana ccm wanaopinga Posho,naomba nao walisimamie hili, kwanza litawaletea heshima na uaminifu kwa wananchi wao! musifuate mkumbo simamien hari harisi!
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Talking about Kaburu, katibu wa zamani wa cdm, unanikumbusha siasa za Makamba. Alikuwa anahonga wapinzani halafu anatangaza wamerudi ccm. Aliwapata wengi lakini wote wamepotea. Kaburu, Ngawaiya, Tambwe, na wengine kibao.
   
 7. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu mkubwa atawaepusha viongozi wote wa CHADEMA na mitego ya maharamia CCM ktk kuiba kodi za wananchi maskini Tanzania,ukombozi umefika mkoloni mweusi hana tena nafasi katika jamii inayotaka UHURU wake.
   
 8. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  na tulishamuambia Kg asikanyage tena. Yule jamaa nilimuona mapema kipind cha kampen zake akawatukana madereva tax eti hata msiponipa kura chungu changu hakitaingia maharage wala sitapikia kuni na wala sitakosa dreva wa kuniendesha!. Kuja kutahamaki kakosa ubunge na ghafla kahamia Magamba.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hizi ni hisia au facts??
   
 10. p

  politiki JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ukishawakataa CCM baada ya kukuonga vyeo na fedha zao hapo unakuwa umepiga hatua kubwa ambayo imewashinda wanasiasa wengi
  mkishashinda kwenye hili basi mtaelekea golini kama mnalia vile kwa maana hakuna kitachowazuia tena.
   
 11. N

  Nganiko Member

  #11
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi nadhani kuwa ccm wabadilike kwani kinachofanywa na wapinzani ni sahihi na sio kung'ang'ania madai eti tulinde amani!. TANZANIA HAKUNA AMANI HATA KIDOGO KWANI SERIKALI Inaficha uovu mwingi sana.
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hii ni changamoto kubwa sana kwa CDM!!
   
 13. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Kaazi bado ipo sana tu!
   
 14. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hivi huyo Dr. Kabouru aka Kimburu ni Doctor wa ukweli au kama wale wa magamba akina Nagu na Mahanga? Dr. gani wa ukweli alikuwa hana msimamo mpaka akakubali kuhongwa na kuwasaliti watu wake?

  Hata hivyo huko aliko anajutia uamuzi wake kwani alijimaliza kabisa kisiasa na amepotea kiasi kwamba hata ukitumia lenzi humpati kwenye Ramani ya siasa za Kigoma!
   
 15. k

  kanioga Member

  #15
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wabunge wengine ni vema waunge mkono kitendo cha mh. mbowe kerejesha shangingi, magari yote ya anasa yapigwe mnada!
   
Loading...