Mtegemea cha nduguye hufa masikini

Mtegemea cha nduguye hufa masikini

JICKSON

Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
5
Reaction score
9
Watumishi wengi wanategemea sana Salary ,cha kushangaza wanataka hat ckk wapewe mshahara,nawaza Christmas ingekuwa 15@mwaka,ingekuwaje? Hazina hawana sikukuu, hivyo tuvumie tutapewa maana ni zetu tu,,
 
unaulizia kijanja kama umetoka
 
Watumishi wengi wanategemea sana Salary ,cha kushangaza wanataka hat ckk wapewe mshahara,nawaza Christmas ingekuwa 15@mwaka,ingekuwaje? Hazina hawana sikukuu, hivyo tuvumie tutapewa maana ni zetu tu,,
ckk ndio nini mkuu ? unaelewa ulichokiandika kweli ?
 
Sasa salary ni ya mtu au yako???
Natamani kujua we ni mtumishi wa level na kada ipi, sio kwa uandishi huo!!!
 
Sasa mtu anaishi kwa kutegemea mshahara anaoufanyia kazi utasemaje anaishi kwa kutegemea cha nduguye?!

Wewe haujaelewa maana ya huo msemo kwakweli.
 
Unawashwa washwa wewe sio bure

sasa ukiumwa jitubu au nenda kwa mganga, mtoto wako peleka madrassa n.k

Mtuache nyie mnaotutukana ndo maskini kama sisi
 
Back
Top Bottom