tryvenak JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 248 Reaction score 298 May 6, 2019 #1 Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi na watu maarufu ni vyema tunazipa barabara hizi majina ya wakandarasi wanaozijenga, tukiweka bango La mahali anakopatikana na namba zake. Hii itasaidia kuwa naa barabara nzuri haraka sana.
Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi na watu maarufu ni vyema tunazipa barabara hizi majina ya wakandarasi wanaozijenga, tukiweka bango La mahali anakopatikana na namba zake. Hii itasaidia kuwa naa barabara nzuri haraka sana.
Queenever JF-Expert Member Joined Aug 16, 2017 Posts 2,051 Reaction score 3,024 May 6, 2019 #2 Barabara inabanduka kama ukoko wa ugali
Dripboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 3,178 Reaction score 4,608 May 6, 2019 #3 Barabara ya wapi hii mkuu?
tryvenak JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 248 Reaction score 298 May 6, 2019 Thread starter #4 Dripboy said: Barabara ya wapi hii mkuu? Click to expand... Hapa Hapa tanzania mkuu.
Profesa ntare nkobe JF-Expert Member Joined Feb 5, 2018 Posts 6,955 Reaction score 8,147 May 6, 2019 #5 Fact
Kuchakuro Ps JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 443 Reaction score 525 May 6, 2019 #6 Huyo mkamdarasi ni Jipu. Sio kwa Lami ya kuegeshwa namna hiyo.