Mtazamo wangu!

Mtazamo wangu!

Joined
Aug 27, 2014
Posts
15
Reaction score
5
Tanzania bila wachumia tumbo inawezekana!Kuna nini Ikulu mbona kila MTU anapataka?Eti mawaziri wakuu waliopita wanapataka kuna dili gani?Watanzania wenzangu embu tujiulize kwanini wanapashindania kiasi hiki? Mimi naona ni wakati wa fikra mpya haijalishi anatokea wapi tumtafute MTU ambaye hata muonekano wake unathibitisha uzalendo wake!Tuachane na wanaojilipa laki tatu kwa siku wakati kima cha mshahara wa MTU na familia yake no laki na hamsini! wachumia tumbo basi jamaniii! Naomba kuwasilisha!
 
.,, ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaa haaaa
 
Back
Top Bottom