Mtazamo wangu

Mtazamo wangu

Udnov

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Wakuu huu n mtazamo tu, make pia katiba inaniruhusu. Nionavyo mimi biashara ya ngono ingehalalishwa tu ila kukawa na sehem maalum ambapo watu wanaofanya hyo biashara watakaa na kufanya biashara yao na walipe kodi serikalini m najua kuzuia hii kitu haiwezekan. Naomba kuwasilisha
 
Hivi inazuiliwa na nani? Kwa taarifa yako wanajifanya kuzuia sio kwamba wanazuia bali wanatafuta sehemu ya kujitangaza kwamba wanafanya kazi - hakuna kitu.

Mtu / mwanaume akiwa na shida ya huduma hiyo anaenda sehem zinazojulikana kwamba kuna huduma hiyo, anapata - na huduma hiyo inaenda kwa hadhi ya mtu. Maofisa serikalini wanawatumia makuwadi, wengine wanajitosa wenyewe, wasiokuwa na aibu utawakuta kwenye kuta za kumbi za starehe wakifanya makubaliano na mambo yanakwenda kama wanavyokubaliana - IMEKATAZWA NA NANI NA KWENYE KATIBA IPI?
 
Mkuu hebu tafuta sheri a ya mwongozo wa makosa ya jinai kifumgu cha 145 na 146 utajua, pia najua wa2 wanafanya kwa kuibia ila 2 nataka sheria iruhusu kwan hcho k2 hakizuilik mkuu
 
Haya mkuu nitajitahidi kusoma hivyo vifungu.
 
not going to happen. :-/

viongozi wa dini hawataunga mkono na watawaambia waumini wao 'wakatae kwa nguvu zote'. pia kuna ishu za usalama (magonjwa ya zinaa, ubakaji etc). too many obstacles to overcome :-(
 
Lengo lako ni kuongeza ukusanyaji wa mapato au?
 
vp kwenye macasino kinachofanyika si vyombo vya usalama wanajua.Maisha club.lasvegas.new africa.sea cliff na nyingine nyingi.
 
lengo hasa ni kukusanya mapato au ni nini mkuu,.
 
vp kwenye macasino kinachofanyika si vyombo vya usalama wanajua.Maisha club.lasvegas.new africa.sea cliff na nyingine nyingi.

hata kwetu huku Villa mambo ndo hayo yanaendelea
 
Ujue kuna viongoz wanaingiza pesa kutokana na biashara hyo haram na wana jenga mijumba na kumiliki vitu mbal mbal vya gharana dat y m naona ihalalishi ili walipe kodi ztakzo saidia watanzania wote na c 2 viongoz wanaochukua mapato kisiri
 
Back
Top Bottom