MTAZAMO WANGU KUHUSU ZANZIBAR

fdizzle

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,900
2,394
Bado kuna misimamo na hoja tofauti kuhusu hatima ya Zanzibar.Kuna watu wanashabikia suala la Zanzibar pasipo kuelewa kile wanacho kishabikia.
Naomba nieleweke kuwa sipingi wala siungi mkono upande wowote huko visiwani lakin nipo kutoa mtazamo wangu kuhusu ushabik wa mambo bila ya kujua undani wake.
CCM kinataka kutawala milele zanzibar,na maalim anataka urais wa zanzibar awe yey tu kwa maana toka 1995 mpaka 2015 anagombea yey tu,je uko cuf hakuna mwingine.huu pia ni udikteta wa mtu mmoja wakat ule wa ccm ni udikteta wa kikundi.
MTAZAMO WANGU TU
 
Back
Top Bottom