johnson Natrix Member Jul 27, 2016 16 12 Feb 18, 2017 #1 2015 kwa dhaman ya kura yako mpk sasa.....unaitizamia wapi 2020 tanzania ya hapa kazi tu???
E Elimu ya hapa na pale JF-Expert Member Aug 23, 2016 846 825 Feb 18, 2017 #2 Hapa kazi itadumu milele tuuu Maaana hawa wapinzani wetu kwa sasa hawana sera zaidi ni utetezi wa mambo ya ajabu tuuu. Leo hii hawana sera.
Hapa kazi itadumu milele tuuu Maaana hawa wapinzani wetu kwa sasa hawana sera zaidi ni utetezi wa mambo ya ajabu tuuu. Leo hii hawana sera.