Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,119
- 39,208
Sio siri tena, awamu ya tano ya uongozi wa Tanzania imeiweka njia panda sana Sekta binafsi. Kwa sasa sekta binafsi inaandamwa kulipa kodi tu lakini haupewi nafasi tena ya kutoa huduma zake kwa serikali.
Msimamo wa juzi wa mheshimiwa rais kuhusu Vyuo vikuu binafsi ndio umepigilia msumari kabisa, kwa sababu umetoa mwanga kuwa rais anajisikia uchungu sana kuona bodi ya mikopo ikitoa mikopo kwa wanafunzi ili kwenda kulipia ada kwenye chuo binafsi wakati huo huo vyuo vya umma bado vina uhitaji wa wanafunzi.