Mtazamo wa Kikwete enzi zake unafurahisha

mgombea uvccm2017

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
505
376
1459956222815.jpg
 
Kuna ukakasi sana kati ya kauli ya rais wa awamu ya kwanza na ya nne. Ukizisoma, na kuitekeleza kauli ya rais wa awamu ya kwanza lazima ule BAN.
 
Hamnaga hela ya bure lazima ufuate mashart yako on a ya MCC,kuomba ni kujilemaza tukazeni buti tuisubiri tz ya viwanda
 
Ndio maana alisema tutamkumbuka, hakika tunamkumbuka kwa kauli zake zenye mrengo hasi wa kimaendeleo.
Hivi kuna nchi yoyote duniani imehama kutoka dunia ya tatu hadi ya pili kwa kutegemea misaada tu?
 
Pamoja na kumsema sana Jakaya hakuna Rais alietekeleza Maneno yake kwa kutokwenda kuomba! Marais wote wanne walipeleka bakuli kuomba pesa tofauti yao na Jakaya ni kuwa Jakaya alifanikiwa kupewa hela na Big powers wote mpaka china na Marekani.

Nyerere alijiuzulu baada ya uchumi wa nchi kuanguka na wazungu kumnyima pesa.

Mwinyi alilazimika kuanzisha Mabadiliko ya kiuchumi wa soko huria kujihakikishia Misaada ya Wazungu.
Mkapa alilazimika kuuza Viwanda na mali zote za Serikali kujihakikishia Misaada ya Wazungu

Jakaya nae tofauti na wenzie sio mnafiki kasema kweli.

Magufuli kajaribu kuwavimbishia Wazungu tumeanza kumgeuka badala ya kumuunga mkono.
 
Tofauti yake na JK na hao wenzake ni kwamba hao wenzake ni ma bookkeepers na kikwete ni visionary leader maoni ya Rais wetu wa mioyoni Mungu amjalie afya njema ashinde mwaka 2020
From zero to hero
From Fisadi to "Rais wa mioyo ya watu" :D :D
 
Back
Top Bottom