FREEHERMAN
Member
- May 1, 2011
- 43
- 7
Wataalamu wengi wanasema tatizo kubwa moja ya yale mengi yanayozuia maendeleo ya Afrika ni fikra zetu wenyewe kutokuwa tayari kuamini kwamba ipo siku tunaweza kuwa strong continent hapa ulimwenguni...basi kutokana na mtazamo huo hapo juu unadhani njia ipi ifuatwe kuondoa fikra ya kutojiamini katika jamii yetu chini mpaka kada ya uongozi wa nchi