beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 523
habari za jion wana jf, mwenzenu leo tangu asubuhi nimeamkia kulitazama bunge kwa ufasaha saana waziri huyu vwai nahodha memsikiliza kwa uzuri sauti yake nduo ilionifanya niandike thrade hii alivosoma hotuba yake kwa umakin na uweled mkubwa basi nikafikiria kazi amabayo kama asingekuwa waziri basi angekuwa mtangazaji tena wa hizaya ya kiswahili.narudia tena huu ni mtazamo tuu kama wewe unamtazamo mwingne ambao unahis huyu jamaa angefanya kazi ipi? Nawasubiri hapa