Hawa ndo watu pekee wanaweza kumudu wizara yoyote, Ulinzi-Sungusungu ilianzia kule, Kilimo, Uvuvi na Mifugo-hapa sina sababu ya kuelezea, Madini-kila mtu anajua wachimbaji wadogo ndo walikoanzia, Biashara na Viwanda-Hawa wamefanya barter trade na ndugu zao Walongo siku nyingi sana, pia hata viwanda vidogovidogo kama kufua vyuma ndo vilianzia huko, Utamaduni na michezo-Hapa ukoo wa Mwanamalundi unahusika.