Mtazamo tu: Sijamuunga mkono Obama kabisa

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,953
Reaction score
2,044
Sisukumwi na weusi wangu tii nilionao ...ila nashangaa kumuona MTU alopata kura nyingi toka Kwa weusi ili awaongoze Leo akidiriki kwenda upande mwengine kuwakingia kifua weupe walofanya upuuzi.kweli simuungi mkono amenikosea sana anatakiwa angekaa kimya kuliko kwenda kuzitia nguvu familia za wauaji waloua waafrika wenzie Kwa makusudi.
 
Kwani Marekani inakuhusuje wewe?

Wewe ni mbeba maboksi au mla vumbi?

Kama ni mla vumbi basi utakuwa ni mshobokaji tu.

Mshobokaji wa USA na nambo yake.

USA baby .
 

After all, kwa nini Watanzania wanajali hivyo ilhali wengi hujifanya ni anti-everything American?

They should worry more about this stuff right here.

 

Naunga mkono hoja
 
Nimeshangaa kumsikia Obama anaongea uongo alipokuwa Warsaw kwamba Wamarekani wote wamesikitishwa mno na mauji ya polisi, Dallas. Obama anajua fika kwamba kuna baadhi ya watu walipata ahueni, waliona kama "wamerudisha magoli" kwa kuuliwa polisi. Na ukweli ni kwamba bila kuuliwa polisi kusingekuwa na mjadala mpana kuhusu ubaguzi na mauaji ya wanaume weusi.

Obama ilibidi atafute lugha nyingine ya kueleza masikitiko yake, si kusema uongo.
 
Kwani Marekani inakuhusuje wewe?

Wewe ni mbeba maboksi au mla vumbi?

Kama ni mla vumbi basi utakuwa ni mshobokaji tu.

Mshobokaji wa USA na nambo yake.

USA baby View attachment 366017 View attachment 366018 View attachment 366019.
Utumwa wa kujitakia ni kitu kibaya sana. Wewe mbantu mwenzangu huwa sikuelewi kabisaaa. Inaonekana kama ungekuwa black american ungenyanyasa sana watu kutoka Africa. Acha hizo ndugu yangu,hiyo nchi ina wenyewe na sio wewe unakaa huku jf kila post usa baby...
 

Umejuaje mimi ni Mbantu mwenzio?

Unanijua wewe?

Hebu tambaa huko.

USA baby .
 
Kwa hiyo wewe sio mbantu mwenzangu, una Yup'ik au aleuit origin? Acha hizo..umeamua kuikataa mpaka asili yako..noma sana

Acha kujishongondia hapa.

Unanijua hadi useme mi ni mbantu mwenzio?
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…