Mtazamo mpya

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,869
Reaction score
61,572
Mtu asiyekuwa na mpenzi anakuwa yuko huru katika maisha yake,anakuwa amekwepa kifungo cha utumwa....anachokitafuta katika maisha ni kwa ajili ya tumbo lake tu,akipata akikosa hakuna wakumlaumu;ingawa kupingana na asili ni mtihani pia.
 
Love and politics is a source of all pain, and conflict in this world..
Nimeongeza na siasa, nikimaanisha mtu ukiwa huna mpenzi wala hujiusishi na siasa utakua free pain na uta enjoy sana maisha.
Ni kweli mkuu hivyo vitu vinaumiza kweli,na usipokuwa navyo makini vinaweza kusababisha magonjwa yasiyokuwa ya lazima
 
Ni kweli kiasi Fulani, Nikiakisi na maisha yangu. Shida Ni moja.
Kila Moyo wahitaji kupenda au kupendwa, we all needs to belong to someone!

Shida iko pale unayempenda mno asikurudishie upendo unaompa, ukizingatia Moyo ukipenda unakua hauoni mwanamke mwingine mzuri zaidi yake.
 
Na enjoy sana maisha ya ubachela nakuwa happy napata amani nakula papuchi za kila aina bila wasi wasi coz hakuna wa kuniuliza ulikuwa wapi au unafanya nini
 
kwa hiyo mkuu unapambana vipi na hii hali
 
Mtazamo wakiwango chahali yachini sana. Hata mtoto mdogo analijua hilo, kuishi pekeako Kuna faida kubwa sana endapo kama utakuwa hanisi
 
Mkuu upo sahihi lakini ukiwa single ukawa bize na mambo yako unakua free sana na mwisho wa siku katika huo ubize wako utampata tu mwenza wako na hauto toa effort yoyote kua nae, means mahusiano yenu yatakuja automatic,, always nature ipo hivo.
 
Mtu asiyekuwa na mpenzi anakuwa yuko huru katika maisha yake,anakuwa amekwepa kifungo cha utumwa....anachokitafuta katika maisha ni kwa ajili ya tumbo lake tu,akipata akikosa hakuna wakumlaumu;ingawa kupingana na asili ni mtihani pia.
Kweli kabisa aisee
 
Umesahau pia huwa wanapiga nyeto sanaa
 
Mtu asiyekuwa na mpenzi anakuwa yuko huru katika maisha yake,anakuwa amekwepa kifungo cha utumwa....anachokitafuta katika maisha ni kwa ajili ya tumbo lake tu,akipata akikosa hakuna wakumlaumu;ingawa kupingana na asili ni mtihani pia.
uvuvu wa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…