Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,945
Katika historia tumejifunza kitu kinachoitwa human evolution ambapo tunaambiwa binadamu wa leo(modern man) alitokana na viumbe fulani (apelike ancestors) ambao walibadilika na hatimae akapatikana binadamu wa sasa. Evolution imehusisha vitu vingi kuanzia maumbile na hata maendeleo ya ubongo wa binadamu kama vile size of brain, n.k.Kwa uelewa zaidi, Soma "introduction to human evolution".
Wataalamu wanatuambia evolution imekamilika ila mwenzenu baada ya kuangalia taarifa ya habari usiku huu katika chombo kimoja cha kimataifa na kushuhudia madudu ya kisiasa katika nchi kadhaa za bara fulani na namna watu wengi katika nchi hizo walivyo nikilinganisha na watu wa mabara wengine,nachelea kusema evolution(brain evolution) katika bara hilo bado inaendelea na labda vizazi vijavyo ndio vitakuja kuwa bora zaidi lakini sio kizazi kilichopo sasa.
Nimeangali taarifa hiyo ya habari nimeona jinsi maswala ya uchaguzi yanavyofanywa hovyo hovyo katika nchi moja huku kiongozi wa nchi nyingine nae akibadili katiba na cha ajabu zaidi kuna watu wengi tu wanakubaliana na mambo haya.Yaani watu wa hilo bara akili zao zimeshikwa na wanasiasa kiasi cha wao kutojitambua kabisa na kuendeshwa na wanasiasa hawa mithili ya gari bovu.
Nikajiuliza hivi katika mabara mengine mambo haya bado yapo kweli?Baada ya kutafakari sana,nikajikuta nafikia conclusion kuwa kuna mabara kama mawili hivi ambapo moja ndio likiwa kinara,huenda watu wake bado wana-undergo mental evolution tofauti na watu wa mabara mengine ambao hii process kwao ilishakamilika.