Mtazamo katika degree

Nuba

Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Sasa imefika wakati ambao hakuna tofauti ya degree na certificate, leaving certificate hasa tukiangalia kudhalilishwa kwa wanafunzi udom. wazee wameanikwa kama mishikaki juani siku 2 nzima. wanachokidai ni haki zao kabisa.
 
Nchi ishauzwa hii! Tembea mwendo wa fedha! Msomi hana thamani kabisa katika Kanaani hii. Wathamani kwao ni Wanasiasa waliopo madarakani, familia na washarika wao. Je wewe, Mimi na Yule tunaletu lipi? Ndo maana hata Wataaluma na Wataalamu waliosomeshwa kwa kodi, Maziwa na Asali ya Kaanani yetu ni WATUMWA, WAHANGA NA YATIMA. wa viongozi wa Nchii. Inauma, inakera na inatia husira zaidi ya kusimulia. Chukua hatua stahili katika nafasi uliopo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…