Mtawala anayegombea hatapata - Askofu Lazaro

Ujinga kama huu utazungumzwa makanisani ni wale kondoo waliopotea ndio wataamini pumba za kijinga kama hizi. Shame on you gays
I am ready to believe it was a slip of the finger and not intentional...:A S 39:
 
Mungu anatupenda watanzania, Dr. Slaa atashinda
 
Jamani mbona Jongo yule shehe wa pale mjini kariakoo manyema mosque anasema mambo kibao tu kumkashifi OUR PRESIDENT DR. W.SLAA....ukweli ni kwamba GOOD BYE KIWETE and WELCOME SLAA......wale wa mambo ya computer wanaita FIFO....First In First Out...
 
Ujinga kama huu utazungumzwa makanisani ni wale kondoo waliopotea ndio wataamini pumba za kijinga kama hizi. Shame on you gays
Kwani lazima useme kiingereza hata kama hujui? Ona sasa unatukana watu. You should have said guys! Omba radhi! Shame on you for the bad word.
 


Ni kweli kabisa hali ya JK sio nzuri, na asijaribu kuchakachua maana Tutamzika.....
acheni Mungu afanye kazi yake.... Haya ni maono yangu... zaburi 64: 3-8
 
Ulijuaje kuwa si kweli? au ni ukweli. Maona huwezi kutolea hukumu. Wewe timiza wajibu wako, kapige kura 31 Oct 2010


La kupiga kura halina mjadala nitapiga, labda wewe ?
 
Acheni blablaa. nendeni mkapige kura......wengine hata kadi za kupigia kura hamjui ziliko...shame on you wewe uliyejiandikisha na hutaenda kituoni jumapili
 
Endeleeni kujidanganya mkidhania Rais wa nchi anatoka MAKANISANI!
 
Habari hii ni njema sana kwa watanzania wapenda maendeleo!!!
 
Kwani hakuna kustaafu uaskofu? Mbona Kulola ameshajichokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…