Mzee wa Wima JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 537 Reaction score 296 Oct 4, 2016 #21 Elimu ya hapa na pale said: Hodi wana jamvi, Leo katika taarifa ya habari nimemsikia kiongozi maalufu wa CUF. Julias Mtatiro akitaja neno BWANA YULE. Je, Ni halali na kikatiba inakubalika? Naombeni maoni yenu wadau wa JF. Click to expand... Mkuu unamaana Le profeseli a.ka BWANA YULE humjui.
Elimu ya hapa na pale said: Hodi wana jamvi, Leo katika taarifa ya habari nimemsikia kiongozi maalufu wa CUF. Julias Mtatiro akitaja neno BWANA YULE. Je, Ni halali na kikatiba inakubalika? Naombeni maoni yenu wadau wa JF. Click to expand... Mkuu unamaana Le profeseli a.ka BWANA YULE humjui.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,096 Reaction score 75,541 Oct 4, 2016 #22 Alimaanisha lile polopesa linaloshauriwa na jopo la wachawi.
M Mr mnenje Member Joined Oct 3, 2016 Posts 20 Reaction score 3 Oct 4, 2016 #23 Kawaida bwana hakosi bibi.... Kuna wengine wana nyota za viji ukuta
M Mahmoud Shariff Qaasim JF-Expert Member Joined Nov 3, 2007 Posts 923 Reaction score 271 Oct 6, 2016 #24 Bwana yule na Bibi yule hawapatani
Mchokoo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 1,188 Reaction score 1,604 Oct 6, 2016 #25 laki si pesa. said: Tatizo mtatiro anaendeshwa kwa remote na CHADEMA.. Click to expand... Na lipumba anaendeshwa kwa remote ya ccm?
laki si pesa. said: Tatizo mtatiro anaendeshwa kwa remote na CHADEMA.. Click to expand... Na lipumba anaendeshwa kwa remote ya ccm?
ketete JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 792 Reaction score 798 Oct 6, 2016 #26 umetumwa tu. kwani hilo neno linakuhusu nini?? halafu acha umbea
msem JF-Expert Member Joined Nov 7, 2015 Posts 1,837 Reaction score 1,631 Oct 6, 2016 #27 mchovu wa fikra said: View attachment 411630 Bwana yule kwa Ihsani ya MUTUNGWA.Huyu sio Jaji ni JIJA. sakata hili linaharibu sana taaluma za watu aisee.Jaji na Professa kweli siasa ni kichaka. Click to expand... Jaji anakwenda sambamba na sheria-ambayo ni msumeno na hukata pande zote,wewe unakwenda sambamba na ushabiki na mihemko,kama mnaona huyo siyo jaji na hatendi haki jawabu litapatikana mahakamani.
mchovu wa fikra said: View attachment 411630 Bwana yule kwa Ihsani ya MUTUNGWA.Huyu sio Jaji ni JIJA. sakata hili linaharibu sana taaluma za watu aisee.Jaji na Professa kweli siasa ni kichaka. Click to expand... Jaji anakwenda sambamba na sheria-ambayo ni msumeno na hukata pande zote,wewe unakwenda sambamba na ushabiki na mihemko,kama mnaona huyo siyo jaji na hatendi haki jawabu litapatikana mahakamani.