Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Mtatiro ni mtu ninayependa sana kusoma maandiko yake kule facebook hata kwenye gazeti la mwananchi. Amekuwa anajitahidi sana kuachambua na kuweka uwazi wa vitu vingi ambavyo tulikuwa hatuvijui. Amefanya hivyo tangu harakati za mchaguzi mkuu uliopita zilipoanza.
Nimeona kwenye Gazeti la Mwananchi leo akionyesha digrii aliyosoma huku ikiwa haitolewi na chuo chochote hapa Tanzania. Ukweli amesoma Mlimani (UDSM) digrii ya kwanza. Na inajulikana yeye ni mwalimu.
Ila anaonyesha kasoma B.A. Elimu (Lugha, Siasa na Utawala). kwa ninanvojua, hakuna digrii hii. Au ni kuonyesha kuwa amebobea kwenye utawala? Hizi zingine sina shida nazo kwa maana najua zinatolewa na vyuo vyetu.
Naomba ufafanuzi kwa mwenye uelewa zaidi.
http://www.mwananchi.co.tz/Makala/-/1597592/2997542/-/rwhsyw/-/index.html