Mtatiro kuingiiza Dola katika mgogoro wao na Lipumba ni mwendelezo za fikra duni za wapinzani

Upinzani wakija kustuka kuwa kirusi ni Lowasa.. Watakua wamechelewa.. Au wanasubiri Fedha za Lowasa ziishe.. Ndio wamuondoe
 
HAKUNA ZEZETA MWENYE UWEZO WA KUKUJIBU ILI SWALI LAKO. JAPO KWA WENYE AKILI KUBWA WANAJUA LIPUMBA KASHAAMUA KUTUMIKIA USHETANI KWA KUTUMWA NA SHETANI WEZAKE NA LAZIMA WAMLINDE KUFANIKISHA USHETANI WAO.
Le Proffeseri haku vamia ofisi, bali ali kwenda ofisini kwake,alipo ona kuna Janjawed pale mlangoni ndio aka waita Blue gard waka wa ondoka, na alie kaidi ali tolewa kwa nguvu.
Police walikua waki angalia tu kwakua walikua wana jua Blue gard wana tosha. Vp Lipumba avamie wakati yeye ni Mwenyekiti halali na pale ofisini kwake?
 

Wakati kiswahili tu kina kushinda, eti SUBILI... MAALIFA. . hebu kaji funze kiswahili kwanza kabla huja mkosoa Le Proffeseri. .
 

Wewe huoni Lipumbavu aliachwa na Polisi Kuvunja Ofisi za CUF, Na Kumpiga Mlinzi, Na Kisha Kukimbia Kuwakamata Wanakafu/ au Mamluki wakisanii waliosema Wametoka Zanzibar Ili Kumfanyia Fujo Lipumbavu? Hivi Yule Mwenyekiti wa Vijana Wa CCM aliyefukuzwa Lumumba akirudi Kuvunja Milango Polisi Watamwacha? Kama Walivyotumwa NHC Kutupa Mali za Mbowe Nje, Kama walivyomzungusha Slaa Kufanya TV conference ya zaidi ya Milioni 60, sijui hela alipata wapi huku akidai anakula Mihogo. Kama walivyomlipia Slaa Nyumba. Ndivyo Na Leo Wanampa Impunity Lipumbavu Kufanya Uhuni na Uhalifu dhidi ya CUF kwa Niaba yao. Ukweli Ni Kuwa Anayewafanyia CUF Uhuni Wa Kitoto sio Lipumbavu bali Ni Magufuli anadhani Watanzania Wote wana akili za Kuku! Yetu Macho! Yuko Mtu atajuta na Kuumbuka (Magufuli sio Mwingine)
 
Haitaji Phd kujua kuwa mkono wa chama dola upo pale. Upo kabsa na unaonekana
 
Pumba tupu
 
Reactions: BAK
Mtatiro haamini kuwa huu mgogoro wanaweza kuumaliza wenyewe ndo maana anaropoka ili kujiandalia mazingira baadae ya kuja kusema si nilisema dola,ccm ,act......wanamsaidia lipunba mnaona kashinda we ngoja uone wakishindwa kauli zao zitakavyo kuwa
 
Kama kawaida yako mpiga ramli mahirizi yamebana mpaka unamwambia mcha mungu Mtatiro akaogee mfeza
 
,,lipumba karuka ukuta,kafanya uvamizi ..
Yaani vijana mnapinduliwa na mzee kama lipumba,mtaweza kufanya maandaamno ya kuchukua nchi kweli??
Hahaha acha nicheke tu kama lipumba kawashinda akili tena CUF wameshikwa pabaya kinyama. Mzee akitumia vifungu vya barua yake
 
Mtatiro akili kubwa usijifananishe nae wewe kifutu anamaanisha anachokiongea
 
Wakati kiswahili tu kina kushinda, eti SUBILI... MAALIFA. . hebu kaji funze kiswahili kwanza kabla huja mkosoa Le Proffeseri. .
Kiswahili wanasoma darasa la ngapi jf maana wewe ndio mwl.mkuu.. Naomba nafasi shuleni mwako.
 
Mkuu chama kikuu cha upinzani ndani ya mioyo ya watanzania ni ACT wazalendo na wala siyo ile Sacco's ya kuokoteza Mafisadi kila unapofika uchaguzi
 
Lipumba anapewa kiburi na defender za polisi na Msajili. Polisi na Msajili ni dola.
Wakati anateka nyara ofisi na kuvunja mlango alisindikizwa na defender.Na mpaka leo analindwa na defender akiwa analala hapo buguruni.
Wakati Lipumba anavamia mkutano mkuu aliingizwa na polisi ndani ya mkutano kisha mabaunsa wa Lipumba wakaanza kutupa meza mkutano ukavunjika.
 
Upo sahihi mtoa mada kuhusu kosa la CUF kutokushuhulikia suala la kujiuzulu kwa Professor Lipumba kwa weledi. Nimeandika hapa zaidi ya mara moja, CUF lazima wakubali kwamba kuna mahali waliacha mwanya ambao ndo anautumia Professor Lipumba sasa. Hapa wa kulaumiwa ni wao wenyewe. Kuhusu dola kumtetea Lipumba pia nawaelewa CUF. Kwasababu dola yetu pia ina historia ya kukandamiza upinzani. Unaweza kuona hili kwa jinsi walivyowahi kukaaa siti ya kwa dereva kumtetea Lipumba, wakati sikuzote walikuwa kimya. Yote kwa yote, naweza kusema kwamba CUF waliacha "lindo" bila ulinzi wowote, na sasahivi wapo bize kumlaumu mwizi ambaye walimwachia milango wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…