Mtatiro aumbuka



Umeanza vizuri then unaanza kuwa personal Kwa kum attack.... Huna number yake U mpigie mmalizane wenyewe please?
 
Mnaoandika kwa kumalizia email mnajua mnalenga wapi kwaiyo hatushangai.
 
Maelezo marefuuu,lakini Pumba tu!! hata kichwa cha habari hakiendani na ujumbe
Yani hamna muunganiko kabisa, nimejaribu kuunganisha lakini nimeshindwa, anakwambia eti kugombea ubunge na kushindwa ni unprofessional? Mwalimu wako wa chuo ni lipulipumba nini manake ndo anaweza toa v. Laza na maboko kama wewe.
 
Huenda tukaona makubwa zaidi hapo mbeleni na hatutakua na nafasi tena ya kurejesha maneno ya vinywa vyetu
 
mimi tokea na anza kumsikia ni mtu ambaye hana ishi na roho ya kwa nini au husda.kutokana hajafika yale aliyokuwa hakiwaza.mtatiro asipo angalia siasa ajui kabisa kabakisha ushabiki
 
Urafi=ulafi

That's all I can comment from this thread...
Vingine umepaniki tu
 
Watanzania tuna wajibu wa kukosoa pale panapostahili kukosolewa hata kama huyo tunayemkosoa ni Mkuu wa nchi yetu, kwa kuwa ni sisi wananchi ndiye tumempa dhamana hiyo ya kuliongoza Taifa letu.

Hivi inawezekanaje Mkuu wa nchi akatamka hadharani kule Pemba kwenye hotuba yake kuwa anapendekeza Jecha apewe nishani ya utumishi uliotukuka, wakati hata ndani ya nafsi yake anajua kabisa kuwa Jecha 'aliyapindua' matokeo halali ya uchaguzi huru na wa haki uliofanyika Oktoba 25 mwaka jana?!

Ni kwa nini basi viongozi wakubwa kabisa wa dini na viongozi wastaafu wa kisiasa wa Chama chake nao hawataki kujitokeza na kumwambia mkubwa mwezao kuwa huku uendako mkubwa mwenzetu unapotea njia?!

Kwa kuwa wajibu mkubwa wa Mkuu wa nchi ni kuliunganisha Taifa na si kulitenganisha kwa misingi ya itikadi za kisiasa.......
 
Hii ni post yako ya sita hapa JF, mtu akisoma post zako tano za nyuma atajua tuu kuwa umejiunga JF kwa makusudio gani. Sasa tambua hili sio jukwaa la unafiki na majungu.
Ataishiwa vya kupost soon, ng'ombe aliyekatika mkia wiki iliyopita kafyatua post kila dakika yuko wapi sasa?
 
Mleta post hiyo email address uliyotuandikia hapo ya nini?

Kwa taarifa yako tu nafasi zote za uRC, uDC na maDED tayari zishajazwa...........
 
Kitendo cha Mtatiro kumkubalia Seif kuzidisha wajumbe wa Zanzibar kilinifanya nimdharau sana.
 
Haya tumekusikia..
Mtatiro anawagawa Wafuasi wa Maalim Seif na Wafuasi wa profesa Lipumba.
Mkulu anawagawa watu wa Ccm na watu wa vyama vingine.
Kaa tena halafu andika uzi kwa kulinganisha madhara ya Mtatiro kwa taifa na Mkulu kwa taifa.
 
Hajawahi kuajiriwa tangu amalize chuo...ashawahi kuja kukuomba pesa ya kula?
 
Unaandika zambi badala ya dhambi, hapo ndipo nilipoacha kusoma post yako.
Na vipi ile Urafi wa madaraka hukuiona....
Anhaaaa kumbe uliacha kusoma basi ipoo....mm nlmsamehe nlipoiona zambi nikahisi ni typing error....
Lkn nilpofka kwny urafi....
Nlishindwa kuvumlia aiseee....
 
Uwezo wako wa kufililia bado ni mdogo sana
 
Kuna hadithi ya mfalme mwenye masikio kama ya punda anayeikumbuka atajua tu kuwa dunia haina siri.Ipo siku kila kitu kitadhihirika maana dalili ya mvua ni clouds.
 
Pamoja na matatizo yote ya Mtatiro, alicho mkosoa Rais kilikuwa ni kweli
Sikutegemea kama Rais ange zungumza aliyo ya tamka huko z"bar
Nashangaa dunia kwa kweli kwhyo wale waliohubiri watu wasizikane ndo wako sahihi? Raisi kuachana ukweli wote unafiki tupa kule.
Mwenyekiti CCM JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…