Mtatiro Aukataa uenyekiti CUF

Vijana wa lumumba jiongezeni achaneni na masuala ya upinzani
 



ccm cheo kama hicho kinaandikiwa thread na wakina lizaboni mnachafuana balaa cheki wazee wa democrasia wakat huko kuna watu wanavyeo viwili mwenyekiti na uraisi.
 
Du huyu jamaa ananuka KIJANI tupu. Dhambi ya huyu jamaa ni kumshauri Pr Lipumba kujiuzulu akidhani kwa kufanya hivyo, CUF itakufa.

Kwa hapa mahesabu yalipiga chini, ni lazima ujipange upya ila mshauri Pr Lipumba asikurupuke. Ni lazima mjipange vizuri, maana CUF si chama lele mama.
 
Mleta mada anahangaika kama Prof. Mkumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…