Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
uchaguzi itabidi ufanyikie Pemba, huku bara watauharibu wale jamaa na jamaa yao.Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.
My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.
Tangu mwanzo kabla ua uchaguzi uliopita kwa vurugu, alishasema kuwa hatawania uenyekiti. Usiwe mpotoshaji na propaganda za kipuuzi. Unadhani uzao wako wooooooooooooooote utakuwa CCM, tanguliza maslahi ya wengi kuliko chama chako.Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.
My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.
Ndio kakataa kugombea...jikite kwenye hoja na si kuhoroja maneno!Mtatiro anasumbua sana kwa sasa mitaa ya Lumuba hapo, hamlali kwa sasa.
Tangu kuwakwamisha kwenye harakati zenu za kuchomeka pandikizi lenu magamba ndani ya CUF naona mnahaha kweli.
Huu ni uzi wa tatu nauona umeauanzisha kuhusu Mtatiro ndani ya dakika 20 hivi.
Kweli mkuuuchaguzi itabidi ufanyikie Pemba, huku bara watauharibu wale jamaa na jamaa yao.
Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.
My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.
Siyo kwamba Lipumba hawezi kuwa mwenyekiti wa CUF, yeye ndo mwenyekiti wa CUF kwa mujibu wa katiba yao!Mbinu zenu zimeshafeli hata kama mtatiro asipogombea, kamwe pandikizi lenu Lupumba hawezi kuwa mwenyekiti
Siyo kwamba Lipumba hawezi kuwa mwenyekiti wa CUF, yeye ndo mwenyekiti wa CUF kwa mujibu wa katiba yao!
Atagombea vipi na wakati tangu mwanzo hakumboea? Au Mtatiro ndio threat kwenu.Ndio kakataa kugombea...jikite kwenye hoja na si kuhoroja maneno!
Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.
My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.
Katiba ipi unayoitumia wewe na lipumba ?Siyo kwamba Lipumba hawezi kuwa mwenyekiti wa CUF, yeye ndo mwenyekiti wa CUF kwa mujibu wa katiba yao!
Huo ni msimamo alio utoa siku nyingi sana,Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.
My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.
Kutowania ndio kuukata? kwani na cuf na wao wana utamaduni wa kukabidhiana?Mwenyekiti wa muda wa Chama Cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amesema kuwa hatawania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi unaopangwa kufanyika hivi karibuni. Mtatiro alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa muda wa chama hicho akikalia nafasi iliyoachwa na Profesa Ibrahim Lipumba aliyejiuzulu mwaka jana na baadae mwaka huu kuzua sintofahamu baada ya kutengua uamuzi wake na kutaka kurejeshewa nafasi hiyo.
My take;
Mtatiro ni bora umejiondoa hakika ungeambulia aibu wewe baki tu kuwa mwenyekiti wa Sultani Seif.
Huyu atakuwa ni miongoni mwa wale waliofanya fujo Blue pearl au leprofeseri mwenyeweOna nyuzi zako hapa chini na unavyohangaika na mtatiro na cuf. kweli Lumumba mnampenda lipumba
Sakaya ailima barua CUF
Msajili amlima Barua Maalim Seif kuhusu sakata la Lipumba
Lipumba na wafuasi wake waachiwe CUF na CHADEMA watengeneze chama kipya na Seif kuelekea 2020!
Mtatiro kwanini ulimruhusu Seif kuingiza wajumbe wasio halali kupiga kura? Umefeli uenyekiti wa muda
Mtatiro hautabaki salama CUF Prof. Lipumba akiondoka!
Mtatiro: 'CUF inapigania haki sawa kwa watanzania wote,hasa Wazanzibar!'Nini kaana yake?