Mtatiro: Askari wanavunja amani, kwani kwenda kusikiliza kesi ya Lema ni dhambi?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amepata dhamana na yuko huru. Kila mtu alitaka Lema atendewe haki. Lakini nimesikitishwa na kitendo cha Polisi wa Arusha kuwapiga na kuwaumiza wananchi wasiokuwa na hatia ati kwa sababu wamekwenda mahakamani kwenye kesi ya Lema. Leo kwenda mahakamani ni dhambi? Kwenda mahakamani ni laana? Jana nilimsikia Rais anahubiri amani na utulivu huko Lindi? Leo Polisi wake wanatia raia ulemavu na maumivu yasiyoelezeka. Hivi anayeharibu amani ya nchi hii ni raia waliokwenda mahakamani kwa amani au ni wanasiasa wanaotuma vyombo vya dola vipige na kuumiza raia bila sababu? Nchi hii ina mambo yanaudhi na kuumiza sana lakini mambo hayo ndiyo yanawakomaza wananchi, maana ili mbegu iote, huoza kwanza.
[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG].

Glory Siah Rimoy kutoka Arusha anaripoti kuwa Polisi mkoani humo wamepiga wananchi waliokusanyika eneo la mahakama kuu kusikiliza kesi ya Mhe.Lema. Baadhi ya wananchi wamejeruhiwa vibaya kwa virungu na wengine wamekamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi kati na kuswekwa rumande bila kosa lolote. Watu wanne wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mt.Meru kufuatia kipigo kikali cha polisi, kilichosababisha majeraha na wengine kupoteza fahamu. Magari ya kuwasha, police wenye silaha nzito wamezingira eneo lote la mahakama. Watu wamezuiwa kuingia, na maeneo ya nje ya mahakama ni virungu na kipigo kikali kwa raia.
 
Amani na Utulivu huja kukiwa na HAKI miongoni mwetu
 
Kama kwa maneno ya Magu kuwa kwenye ofisi ya mwansheria mkuu kuna wanasheria sita tuu wanaojua sheria,sasa huwezi kuwalaumu polisi kuwa hawajui sheria
Wanampeleka mtu mahakamani kwa kukutwa na gram moja ya bangi lakini wanamuachia mwenye shamba lenye tani sita za bangi
Only in Tz
 
Glory Siah Rimoy kutoka Arusha anaripoti kuwa Polisi mkoani humo wamepiga wananchi waliokusanyika eneo la mahakama kuu kusikiliza kesi ya Mhe.Lema. Baadhi ya wananchi wamejeruhiwa vibaya kwa virungu na wengine wamekamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi kati na kuswekwa rumande bila kosa lolote. Watu wanne wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mt.Meru kufuatia kipigo kikali cha polisi, kilichosababisha majeraha na wengine kupoteza fahamu. Magari ya kuwasha, police wenye silaha nzito wamezingira eneo lote la mahakama. Watu wamezuiwa kuingia, na maeneo ya nje ya mahakama ni virungu na kipigo kikali kwa raia.
 
Haiwezekani kila mtu akaenda mahakamani,kazi zitakuwa hazifanyiki sehemu yenyewe ndogo tu,chadema mbona mna vurugu sana
 
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amepata dhamana na yuko huru. Kila mtu alitaka Lema atendewe haki. Lakini nimesikitishwa na kitendo cha Polisi wa Arusha kuwapiga na kuwaumiza wananchi wasiokuwa na hatia ati kwa sababu wamekwenda mahakamani kwenye kesi ya Lema. Leo kwenda mahakamani ni dhambi? Kwenda mahakamani ni laana? Jana nilimsikia Rais anahubiri amani na utulivu huko Lindi? Leo Polisi wake wanatia raia ulemavu na maumivu yasiyoelezeka. Hivi anayeharibu amani ya nchi hii ni raia waliokwenda mahakamani kwa amani au ni wanasiasa wanaotuma vyombo vya dola vipige na kuumiza raia bila sababu? Nchi hii ina mambo yanaudhi na kuumiza sana lakini mambo hayo ndiyo yanawakomaza wananchi, maana ili mbegu iote, huoza kwanza.
[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG].

Glory Siah Rimoy kutoka Arusha anaripoti kuwa Polisi mkoani humo wamepiga wananchi waliokusanyika eneo la mahakama kuu kusikiliza kesi ya Mhe.Lema. Baadhi ya wananchi wamejeruhiwa vibaya kwa virungu na wengine wamekamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi kati na kuswekwa rumande bila kosa lolote. Watu wanne wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mt.Meru kufuatia kipigo kikali cha polisi, kilichosababisha majeraha na wengine kupoteza fahamu. Magari ya kuwasha, police wenye silaha nzito wamezingira eneo lote la mahakama. Watu wamezuiwa kuingia, na maeneo ya nje ya mahakama ni virungu na kipigo kikali kwa raia.
CDM jifunzeni kutii sheria kwa hiyari, mpaka mpaka mpigwe virungu ndo mnaelewa ?!
 
Dhahabu imara hupitishwa kwenye moto mkali..

Wacha wawakomaze na kuchochea hasira zao..!
 
Glory Siah Rimoy kutoka Arusha anaripoti kuwa Polisi mkoani humo wamepiga wananchi waliokusanyika eneo la mahakama kuu kusikiliza kesi ya Mhe.Lema. Baadhi ya wananchi wamejeruhiwa vibaya kwa virungu na wengine wamekamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi kati na kuswekwa rumande bila kosa lolote. Watu wanne wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mt.Meru kufuatia kipigo kikali cha polisi, kilichosababisha majeraha na wengine kupoteza fahamu. Magari ya kuwasha, police wenye silaha nzito wamezingira eneo lote la mahakama. Watu wamezuiwa kuingia, na maeneo ya nje ya mahakama ni virungu na kipigo kikali kwa raia.

Tanzania ya AMANI hiyo ni order toka kwa mwenyekiti wa Ulinzi na usalama.
 
Back
Top Bottom