Nimeona kwenye kituo cha tv cha mlimani Julius Mtatiro akihutubua mkutano wa hadhara igunga ni aibu hakuna watu kabisa zaidi ya watu ambao wanaonekana ni wapita njia hawakuwa na mpango wa na mkutano huku vijana wakionyesha vidole alama ya V inayotumiwa na chama cha CDM.
Acha wivu wa kike wewe, Zitto amejaza watu kibao pale Tangamano tumeona TBC 1 sasa hivi. Labda kama unalako jambo au unajifariji...Uliona pia mikutano ya VINEGA Tanga, ya akina Zitto na Mnyika? Same story!
Mbona naye hajajiuzulu kama Jussa?
Uliona pia mikutano ya VINEGA Tanga, ya akina Zitto na Mnyika? Same story!
Uliona pia mikutano ya VINEGA Tanga, ya akina Zitto na Mnyika? Same story!
Mawaidha na Quotes za BasallehRest in peace KAFU! Utoke nyumbani kwako uende kumsikiliza mtatiro? Usikilize nn?
ya ni true, ata mie nimeona tbc1, watu walikuwa wengi kiukweli, uyu ni memba wa magamba akiwa kazini aka kinega.acha wivu wa kike wewe, zitto amejaza watu kibao pale tangamano tumeona tbc 1 sasa hivi. Labda kama unalako jambo au unajifariji...
una uhakika mkuu? Pamoja na tbc kukwepesha kamera lakini tanga watu wamejaa sana.
Believe me, that day is coming!
leo mpaka tv yako ya magamba imemuonyesha zitto akihutubia huko tanga ingawa ni kwa uchache sn..nafikiri utakuwa umeona ni watu wachache au wengi. kama hujaona idamkie asubuhi uone
Namlilia Julius Mtatiro...