Mtashi aimba - TANESCO USIKATE UMEME ..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtashi aimba - TANESCO USIKATE UMEME .....

Discussion in 'Entertainment' started by Sikonge, Jul 27, 2011.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Huyu dada naona kaamua kutusaidia wale ambao Magamba bado yametufunika na hatuoni mateso yanayoendelea.

  Kama unafikiiri Watashi hiyo haiwakumbi, basi angalia dada anaimba kwenye studio inayoenda kwa nguvu ya Betri la gari.....

  Umeme wanatumia mishumaa na SIKIRINI za simu kama siku Yanga wanapewa kombe pale uwanjani.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nchi ikiw giza, basi na nguvu za giza zinaanza.

  Ona hivi vitoto vinavyofanya. Hiki kibinti sidhani kama bado hakijaanza kazi. Kama bado basi it's just a matter of miezi tu akina Liumba waanze kazi. Hapa utaona kweli sisi wanaume tunakuwa polepole sana. Hao karibu wote wanajua nini maana ya SEX.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...