Mtanzania wa mwaka 2013++

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,703
je, hao wanaosema maendeleo wanakubaliana na haya mawazo ya King Kinya?
Maana kimsingi maendeleo ya ukweli ni yale yanayoanzia kwenye mambo ya msingi lakini kama kweli huwezi kujilisha, kujivalisha, na hata dawa ya mswaki utasemaje juu ya maendeleo!

courtesy of King Kinya
 
dawa gani ya meno[toothpaste] inayotengenezwa Kenya ambayo hutumiwa kwa wingi Tz?

Naomba jibu ndugu mtoa uzi:
 
Nammis Nyerere, Ujamaa wake ulilenga kuhakikisha tunayaweza hayo yote hapo juu, sasa hivi tuna makasha ya viongozi, pengine kwa miaka mingi ijayo endapo kama vichwa maji kama akina Membe, Riziwani wa Hussein mwinyi ndio tunaowategemea kuongoza jahazi siku za usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…