PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
mfano chadema hawana sera yoyote zaidi ya vurugu na maandamano

Chadema mtajnyea mwaka huu mana mnatapatapa kwelikweli. Poleni sana!Kwanini hatujifunzi kuhoji sera za vyama kwanza kabla ya kujiunga navyo? Na hii ndiyo inadhibitisha kuwa baadhi ya watu ni bendera fata upepo. Wana fata mtu badala ya chama kitu kinachodhibitisha kuwa watu hao hawajui siasa bali kunawatu wanaorukia rukia siasa na kujifanya wanasiasa.
Si ndiyo sera.mfano chadema hawana sera yoyote zaidi ya vurugu na maandamano
mfano chadema hawana sera yoyote zaidi ya vurugu na maandamano
kabxa mkuu hilo lipo waz n chama ambacho hakina sera bal hutegemea huruma ya wananchi
Kwanini hatujifunzi kuhoji sera za vyama kwanza kabla ya kujiunga navyo? Na hii ndiyo inadhibitisha kuwa baadhi ya watu ni bendera fata upepo.
Wana fata mtu badala ya chama kitu kinachodhibitisha kuwa watu hao hawajui siasa bali kunawatu wanaorukia rukia siasa na kujifanya wanasiasa.
Hilo hapo tawi la lumumba
kabxa mkuu hilo lipo waz n chama ambacho hakina sera bal hutegemea huruma ya wananchi
kuna chama sera zao n kuuana mara huyu kataka kumuua yule yan ivo yote hiyo kisikike tu badala ya kusikika kwa kujenga hoja