Wakuu. Hivi kuna mtanzania yeyote anayefanya kazi McKinsey & Co?
Naona kama wabongo tupo nyuma kidogo katika hii sekta ya management consulting. Hasa katika hizi Big Three: Bain & Co, McKinsey & Co, BCG....
Tupeane data kuhusu namna ya kujitayarisha na interview.